-
Russia: Kurutubisha Iran urani kwa 60% ni mjibizo kwa vikwazo ilivyowekewa
Jul 08, 2025 14:06Mwakilishi wa Russia katika mashirika ya kimataifa yenye makao yao mjini Vienna amesema, hatua ya Iran kurutubisha madini ya urani hadi kiwango cha asilimia 60 ni mjibizo kwa vikwazo na mashinikizo ya kimataifa inayowekewa.
-
Kwa nini mizozo ya madola ya Ulaya kuhusu jinsi ya kukabiliana na vita vya ushuru vya Trump imeongezeka?
Jul 08, 2025 13:29Rais wa Marekani Donald Trump kwa mara nyingine tena ameibua vita vya kibiashara na ulimwengu kwa kutangaza kwamba, ataamua kiwango cha ushuru wa bidhaa zinazoagizwa kutoka nje kwa kutuma barua kwa nchi 12 kuanzia Jumatatu ya jana, Julai 7.
-
Waliofariki kwa mafuriko katika jimbo la Texas nchini Marekani yafikia 104
Jul 08, 2025 11:10Duru kadhaa za habari zimeripoti kuwa idadi ya watu waliofariki kutokana na mafuriko yaliyotokea katika jimbo la Texas nchini Marekani imeongezeka na kufikia 104.
-
Kundi la BRICS lakutana Brazil na kulaani mashambulizi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran
Jul 08, 2025 08:49Taarifa ya mwisho ya mkutano wa viongozi wa kundi la BRICS, imesema: “Tunalaani mashambulizi ya kijeshi yaliyoanza tarehe 13 Juni 2025 dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, yaliyofanywa na utawala wa Israel na Marekani, kwani yanakiuka sheria za kimataifa.”
-
Maprofesa Marekani wafungua kesi dhidi ya kukamatwa wanaounga mkono Palestina
Jul 08, 2025 07:52Kundi la maprofesa nchini Marekani limefungua kesi mahakamani kupinga juhudi za utawala wa Rais Donald Trump za kuwatimua wanafunzi wa kigeni wanaoonyesha msimamo wa kuunga mkono Palestina.
-
US yaamua kuiondoa Hay-at Tahrir Sham kwenye orodha ya makundi ya kigaidi
Jul 07, 2025 18:09Marekani imetangaza siku ya Jumatatu kuwa inabatilisha uamuzi wake wa huko nyuma kwa kuliondoa kundi la kigaidi la kigeni la Hay'at Tahrir al-Sham (HTS) la Syria kwenye orodha ya makundi ya kigaidi, miezi kadhaa baada ya kundi hilo kuongoza mashambulizi ya kijeshi yaliyoiangusha serikali ya Rais Bashar al Assad.
-
Tishio la kibiashara la Trump dhidi ya nchi zinazoshirikiana na BRICS
Jul 07, 2025 11:23Kufuatia kuongezeka kwa ushawishi wa kundi la BRICS katika uchumi wa dunia, Rais Donald Trump wa Marekani ametishia kutoza ushuru wa ziada wa asilimia 10 kwa nchi yoyote itakayoshirikiana na BRICS.
-
Mfumo wa ulinzi wa anga wa Russia watungua droni 400 za Ukraine
Jul 07, 2025 11:15Wizara ya Ulinzi ya Russia imesema kuwa Jeshi la anga la nchi hiyo limefanikiwa kudungua ndege zisizo na rubani 402 za Ukraine na mabomu saba ya angani yaliyokuwa yakiongozwa tokea mbali.
-
Rais Putin: BRICS imeipiku G7 katika utendaji kazi, GDP
Jul 07, 2025 07:11Rais wa Russia, Vladimir Putin amesema kundi la BRICS limelishinda kundi la G7 linalotawaliwa na nchi za Magharibi, kwa Pato Ghafi la Taifa (GDP).
-
Rais wa Brazil ailaani waziwazi Israel kwa mauaji ya kimbari ya Ghaza katika kikao cha BRICS
Jul 06, 2025 19:28Rais Luiz Inacio Lula da Silva wa Brazil amesema dunia lazima ichukue hatua kukomesha kile alichokitaja kama "mauaji ya kimbari" yanayofanywa Israel huko Ghaza.